UKAWA WAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI
Na. mwandishi wetu DAR ES SALAAM. MGOMBEA Uraisi kupitia umoja wa Katiba ya wananchi Ukawa Mh: Edward Lowasa amesema endapo atapewa ridhaa ya kuongoza nchi ataipa kipaumbele elimu, Pamoja na afya.
PURE PREPARATIONS PREVENTS POOR PERFORMANCE