UKAWA WAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI
MGOMBEA Uraisi kupitia umoja wa Katiba ya wananchi Ukawa Mh: Edward Lowasa amesema endapo atapewa
ridhaa ya kuongoza nchi ataipa kipaumbele elimu, Pamoja na afya.
Mh.Lowassa ameyasema
hayo jijini Dar es salaamu katika viwanja vya Jangwani wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ndani ya muunganiko wa vyama
vinavyo unda umoja wa Ukawa ambavyo ni Chama cha Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na
NLD.
Edward Lowassa |
Aidha Lowasa
amesema elimu itapewa kipaumbele ambapo itatolewa bure kuanzia darasa la kwanza
mpaka chuo kikuu, na kwamba ili kufikia ufanisi wa haya ni lazima kuwe na umoja
wa kiutendaji..
Comments