BALAZA LA MADIWANI LAOMBA SHERIA ZA ZIMAMOTO KUPITIWA UPYA,MBUNGE VITI MAALUMU PAMOJA NA MAMBO MENGINE KULISEMA BUNGENI.
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi BARAZA la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi limeliomba jeshi la zimamoto na uokoaji Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi kupitia upya sheria inayomtaka mwananchi kuchangia kiasi kikubwa cha fedha ukilinganisha na uwezo wa mwananchi kumudu gharama hizo kwa mwaka. Wataalamu mbalimbali katika Manispaa ya Mpanda wakishiriki kikao cha mwaka cha Baraza la madiwani Manispaa ya Mpanda(PICHA NA.Issack Gerald)