MRATIBU ELIMU KATA WILAYANI MPANDA AUA SABABU WIVU WA MAPENZI ASHIKILIWA NA POLISI KATAVI.
Na.Issack Gerald-Mpanda Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Gidison Visent(32), mkazi wa Katuma aliuawa kwa kuchomwa na kisu kifuani na Mohamed Muna (59) mratibu elimu Kata mkazi wa Katuma.