MTOTO MWENYE ULEMAVU WA VIUNGO ATUNZWA NDANI YA NYUMBA MIAKA MIWILI BILA HATA YA KUPATA MAHITAJI YA MSINGI
Na.Issack Gerald-Katavi Taarifa iliyopatikana Aprili mosi mwaka huu ni yan mtoto mmoja mwenye ulemavu wa viungo katika manispaa ya Mpanda mkoani katavi ambaye amekuwa akifungiwa ndani kwa muda wa miaka miwili na kukosa haki zake za msingi kama elimu wakati mwingine hata chakula.