SHULE BINAFSI MPANDA ZAOMBA RUZUKU KUENDESHA SHULE ZAO ILI KUTEKELEZA AGIZO LA SERIKALI
Na.Issack Gerald-MPANDA WASIMAMIZI wa shule binafsi wameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa Kuzipatia ruzuku za Uendeshaji endapo agizo la ada elekezi lililotolewa na serikali litapitishwa.