WALAZIMIKA KULA VYAKULA WAKIWA NDANI YA NETI WAKIWAKIMBIA NZI
Moja ya madampo ya taka yanayotoa taka Mpanda mtaa wa Kashaulili NA.Meshack Ngumba-Katavi WAKAZI wa Mtaa wa Kashaulili Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi hulazimika Kula chakula wakiwa ndani ya Neti kutokana na eneo hilo kuwa na inzi wengi.