AFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA KWA TUHUMA ZA UHARIBIFU WA MALI,YUMO PIA ALIYETISHIA KUUWA KWA MANENO
Na.Boniface Mpagape-Mpanda MTU mmoja mkazi wa Kapalangeo-kazima katika manispaa ya Mpanda Bw. Joseph Saleh kajunja amefikishwa katika mahakama ya mwanzo mjini Mpanda akikabiliwa na shtaka la kuharibu mali.