MGOGORO WA ARDHI KIJIJI CHA TUMAINI WILAYANI MPANDA WATOKOTA
Na.Issack Gerald Bathromeo-Mpanda Serikali ya kijiji cha Tumaini Halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo Wilayani Mpanda mkoani Katavi,imewalalamikia watu wanaowatishia maisha kwa madai kuwa kijiji hicho kinataka kuwanyang’anya ardhi yao. Viongozi wa serikali ya kijiji cha Tumaini katika picha ya pamoja,wa tatu kutoka kushoto ni mwenyekiti wa kijiji Bw.Billu Bukwaya na wakwanza kutoka kushoto(mwenye shati nyeupe) ni mwenyekiti wa kitongoji cha Tulieni na wengine waliobaki ni wajumbe wa kamati ya ardhi ya Kijiji cha Tumaini(PICHA NA.Issack Gerald)