SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI WATENDAJI WAKALA WA VIPIMO TANZANIA
Na.Issack Gerald SERIKALI imeamua kuwasimamisha kazi watendaji wawili kutoka Wakala wa Vipimo nchini (WMA) kuanzia leo ili kupisha uchunguzi wa upotevu wa mafuta bandarini kutokana na zuio la kufunga kwa mita kwa zaidi ya miaka mitano. Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akipata maelezo bandarini jana Februari 11 kutoka kwa watendaji katika bandari hiyo