Posts

Showing posts from July 27, 2016

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA MKOANI WAKATI WA HAFLA YA KUPOKEA MADAWATI UWANJA WA SHULE YA MSINGI KASHAULILI

Image
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga katika viwanja vya shule ya msingi Kashaulili akikabidhi msaada wa madawati 327(146 Mbunge viti maalumu Mh.Anna Lupembe na 181 mbunge Mpanda Mjini Mh.Sebastian Kapufi).Pia Mbunge Anna Lupembe alitoa msaada wa Shilingi Milioni 4 kwa vikundi 40 vya wajasiliamali wanawake Manispaa ya Mpanda na Baiskeli tatu za walemavu.Jumla Mh.Lupembe alichangia vitu vya thamani ya milioni 10 ukiondoa milioni 4 za wajasiliamali(PICHA ZOTE NA.Issack Gerald) Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jeneral Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga akiwa mgeni rasmi akikabidhiwa madawati 327 kutoka kwa wabunge Mh.Anna Lupembe(viti maalumu Katavi) na Sebastian Simon Kapufi(Mbunge Mpanda Mjini),pia mabati yenye thamani ya shilingi milioni mbili.Wa kwanza Kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mpanda Mh.Willium Mbogo na wakwanza kushoto ni Mh.Anna Lupembe mbunge viti maalumu Katavi(PICHA NA.Issack Gerald)Julai 26,2016 Wa pili kutoka Kushoto(m...

ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 70 CHACHANGWA UANZISHWAJI BENKI YA WANANCHI KATAVI,WAZIRI MKUU PINDA APIGIA DEBE WANAWAKE KUPEWA KIPAUMBELE KATIKA BENKI HIYO.

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo Zaidi ya shilingi Milioni 70 zimechangwa na wadau wa maendeleo Mkoani Katavi kwa ajili ya kuanzisha BENKI YA WANANCHI MKOANI KATAVI. Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya NNE(wa kwanza kulia mwenye shati nyeupe) akiwa katika mkutano wa uanzishwaji wa benki ya wananchi Katavi(PICHA NA.Issack Gerald