Posts

Showing posts from April 1, 2016

RIPOTI WATUMISHI HEWA-BAADHI YA WAKAZI KATAVI WALONGA

Baadhi ya wakazi katika Mkoa wa Katavi wameeleza tukio la uhakiki wa watumishi hewa kuwa suala kubwa ambalo limefanywa na Magufuli licha ya kuwa yapo mengi ambayo ameyafanya na kusema kuwa ni suala ambalo watanzania hawatalisahau kutokana na nguvu ya kauli ya Rais John Pombe Magufuli.