ORODHA KAMILI YA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI WA RAIS MAGUFULI ALILOTANGAZA LEO
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi Rais Dkt John Magufuli wa Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kwa kuongeza idadi ya Wizara, kuteua Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya na kuwahamisha Wizara baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri.