WANANCHI KATAVI WAPONGEZWA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI
Na.Issack Gerald-MPANDA Kamanda wa Polisi Mkoani Katavi Dhahiri Kidavashari,ametoa pongezi kwa wananchi Mkoani Katavi,kwa kuendelea kudumisha amani katika msimu wa sikukuu za Maulid na Krismasi. Kamanda wa Polisi Mkoani Katavi-Dhahiri Kidavashari