USALAMA KAMBI YA WAKIMBIZI KATUMBA RAIA WAPYA TANZANIA YAENDELEA KUIMARIKA
Na.Issack Gerald-Nsimbo Katavi HALI YA USALAMA imeendelea kuimarishwa zaidi katika kambi ya wakimbizi ya Katumba iliyopo Halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi.