WAGONJWA WAANZA KUTEMBEZA KICHAPO KWA WAUGUZI HOSPITALI YA WILAYA YA MPANDA
Na,Meshack Ngumba-Mpanda KUFUATIA tukio la jana la Muuguzi Katika hospitali ya Wilaya ya Mpanda Kupigwa na Mgonjwa aliyekuwa akimuhudumia, Serikali imeshauriwa Kuimarisha Usalama wa watumishi Katika maeneo yao ya Kazi.