DAWA ZA MAGONJWA YASIYOKUWA YANAPEWA KIPAUMBELE KUANZA KUGAWIWA KESHO KATAVI
Na.Issack Gerald-MPANDA. JAMII Mkoani Katavi imetakiwa kuzingatia utaratibu wa wataalamu wa afya juu ya matumizi ya dawa za magonjwa yasiyokuwa yanapewa kipaumbele Mkoani hapa.