WAZIRI MKUU MAJALIWA ASEMA TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA RWANDA
Na.Issack Gerald WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Rwanda nchini, Eugene Kayihura. Ambapo amemuahidi kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na Rwanda.