RIPOTI YA KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA WA NYARA ZA SERIKALI KATAVI HII HAPA KUANZIA DESEMBA 24,2014--DESEMBA 30,2015
Na.Issack Gerald-Katavi JESHI la Polisi mkoani Katavi kwa kushirikiana na askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), wamefanikisha kukamata watu 11 wanaohutumiwa kumiliki nyara za serikali, yakiwemo meno ya tembo yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 532.5 kati ya Desemba 24, 2014 na Desemba 30 mwaka 2015. Kamanda wa polisi Mkoani Katavi Dhahiri Kidavashari (PICHA na Issack Gerald)