Na.Issack Gerald-MPANDA . BAADHI ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilayani Mpanda Mkoani Katavi wamejiuzuru wadhifa wao kutokana na usaliti ndani ya chama uliotokea kipindi cha uchaguzi mkuu wa ubunge urais na madiwani Oktoba 25 mwaka huu.