WAKAZI KATAVI WALALAMIKIA MATUSI YA WAGUZI NA KUNYIMWA MATIBABU-Septemba 12,2017
Baadhi ya wakazi wa Kata ya Katumba Halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi,wamewalalamikia baadhi ya wauguzi na madaktari wa kituo cha afya cha Katumba na Zahanati ya Kaminula kutokana na lugha ya matusi kwa wagonjwa inayoambatana na kutopatiwa matibabu ipasavyo.