MANISPAA YA MPANDA KUCHUKUA HATUA KUSURU KUFUNGWA MACHINJIO YA NG’OMBE-Septemba 4,2017
Na.Issack Gerald Bathromeo Mashama Jengo la machinjio ya Mpanda Hotel Manispaa ya Mpanda HALAMSHAURI ya Manispaa ya Mpanda imesema inatarajia kuanza kuchimba kisima cha maji katika Machinjo yaliyopo Kata ya Mpanda Hotel kama hatua ya utatuzi wa changamoto ya uhaba wa maji mara kwa mara.