JESHI LA POLISI KATAVI LASISITIZA KUTUNZA SIRI ZA RAIA WEMA KUPAMBANA NA UHARIFU
Na.Issack Gerald-KATAVI JESHI la Polisi Mkoani Katavi limesema linaendelea na utaratibu wa kutunza siri za raia wema wanaoshirikiana na Polisi kuwafichua waharifu wanaopelekea kusababisha madhara kwa wananchi.