TRA RUKWA,KATAVI,MBEYA,SONGWE,RUVUMA NA IRINGA WATAKIWA KUIMARISHA KITENGO CHA TAHMINI KODI ISIYOMGANDAMIZA MFANYABISHARA
Na.Ofisi ya mwasiliano ya Waziri Mkuu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa imeitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania kuimarisha kitengo cha tathmini ili kuweka viwango halali ambavyo havitawagandamiza wafanyabiashara na uwepo uwazi kuhusu viwango stahili vya kodi wanavyotakiwa kulipa.