HALMASHAURI YA WILAYA NSIMBO MKOANI KATAVI WANAFUNZI 14 WAPATA UJAUZITO
Na.Issack Gerald-Nsimbo Katavi Moja ya picha ya wanafunzi Mkoani Katavi JUMLA ya wanafunzi 14 katika Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi,wamepata ujauzito katika kipindi cha mwezi Januari hadi juni mwaka huu.