Posts

Showing posts from December 7, 2015

KAYA 8537 KATAVI ZANUFAIKA NA MRADI WA TASAF

Image
  Baadhi ya wanufaika wa Mradi wa Tasaf Mkoani Katavi Na.Issack Gerald-MPANDA KAYA 8537 katika vijiji   80 kati vijiji 177 vilivyopo Mkoani Katavi zimenufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini Mkoani Katavi.

VIJIJI 7 WILAYANI NSIMBO VYALIA NA MIUNDOMBINU MIBOVU YA BARABARA

Na.Issack Gerald-NSIMBO                                                                       ZAIDI ya vijiji saba katika Halmashauri ya wilaya ya Nsimbo           Mkoani   Katavi vinakabiliwa na ubovu wa miundombinu ya barabara inayounganisha kijiji kimoja na kingine.

CHANAGAMOTO ZAENDELEA KUIANDAMA SHULE YA MSINGI KAWANZIGE

Na.Issack Gerald-MPANDA. SHULE ya Msingi Kawanzige iliyopo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi yenye jumla ya wanafunzi 663 inakabiliwa na upungufu wa madarasa ya wanafunzi pamoja na ofisi za Walimu.

MKUU WA MKOA WA RUKWA AAGIZA KUOANDOLEWA MAAFISA WANNE KITENGO CHA FORODHA MKOANI HUMO

Image
Baadhi ya magogo yaliyokamatwa Na Mwandishi wetu- SUMBAWANGA. MKUU wa Mkoa wa Rukwa Magalula Ssaid Magula ameagiza kuondolewa mara moja kwa maofisa wa vitengo vinne kutoka katika kituo cha forodha cha Kasesya mpakani mwa nchi ya Zambia wilayani Kalambo mkoani humo kwa tuhuma za kushindwa kutekeleza maadili ya utumishi wa umma.

WANUFAIKA NA TASSAF WAPONGEZA MRADI HUO WILAYANI MLELE

Na.Issack Gerald-Mlele. BAADHI ya wakazi wa Ilunde na Isegenezya kata ya Inyonga wilayani Mlele Mkoani Katavi wameupongeza mradi wa kunusuru kaya masikini tasaf   kwa kuwawezesha kujikwamua kimaisha.