ASILIMIA 45 YA WATOTO CHINI YA MIAKA 18 TANZANIA HUPATA UJAUZITO NA KUPOTEZA MAISHA WAKATI WA KUJIFUNGUA
Na.Issack Gerald Bathromeo Mashama -Nkasi Rukwa Asilimia 45 ya watoto wa kike waliochini ya umri wa miaka 18 hupata ujauzito na kupoteza maisha kila mwaka wakati wa kujifungua kwa mjibu wa utafiti uliofanywa na Shirika lisilokuwa la kiseriklai la Plan International Tanzania.