HABARI KUU 6 ZA WIKI ZILIZOTOKEZA KATAVI MACHI 21-27,2016 ,P5 TANZANIA MEDIA INAKUSOGEZEA
WAKAZI WAISHIO MLIMA WA LIAMBA LYAMFIPA WATAKIWA KUHAMA KABLA NGUVU YA JESHI KUTUMIKA. Na.Issack Gerald-Mlele Baadhi ya wakazi waliojenga nyumba na kuanza kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo katika mlima wa Liamba Lyamfipa uliopo Wilayani Mlele Mkoani Katavi wametakiwa kuhama mara moja sehemu hiyo.