Posts

Showing posts from January 12, 2016

AFISA ELIMU WILAYANI NKASI AELEZA MIKAKATI YA KUINUA KIWANGO CHA UFAULU WILYANI HUMO

Na.Issack Gerald-SUMBAWANGA HALMASHAURI   ya wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa imeazimia kuongeza kiwango cha ufaulu     kwa mwaka wa 2016.

JESHI LA POLISI KATAVI LASHAURIWA KUZUIA UHARIFU BADALA YA MATUKIO

Na.Issack Gerald-Katavi Jeshi la polisi mkoani Katavi limeshauriwa kujenga desturi ya kuzuia uharifu kabla haujatokea badala ya kupambana na matukio Agizo hilo limetolewa na mkuu wa mkoa wa Katavi, Dr. Ibrahim Msengi wakati wa maadhimisho ya siku ya Polisi nchini iliyofanyika Juzi katika viwanja vya Polisi Wilayani Mpanda.

ASHIKILIWA NA POLISI KATAVI KWA KUKAMATWA NA METO YA TEMBO KILOGRAM 50 YENYE THAMANI YA SHILINGI MIL.120.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Nzuri Ndizu (44) mkazi wa kijiji cha mbede anashikiliwa   na Jeshi la Polisi akiwa na meno 08 ya tembo vyenye uzito wa kg 50 ikiwa na thamani ya Tshs 120,000,000/= ambapo ni sawa na tembo 4 waliouawa kinume cha sheria. Mtuhumiwa bw.Nzuri Ndizu akiwa Polisi kwa Mahojiano baada ya kukamatwa na meno ya tembo(PICHA na.Issack Gerald)                                                                   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi akifafanua kuhusu kukamatwa kwa mtuhumiwa wa meno ya tembo                  ...