SHIRIKA LA INTERNATIONAL AID SERVICES LATOA MSAADA WA MAFUTA KWA AJILI YA WENYE ULEMAVU WA NGOZI-Agosti 8,2017
SHIRIKA la International Aid Services(IAS) limetoa msaada wa mafuta yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa ngozi Albino ili kuzuia mionzi mikali ya jua inayochoma ngozi zao.