MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA AZIAGIZA MAMLAKA ZA ARDHI VIJIJI VYA KAMILALA NA KATUMA KUWEKEANA MIPAKA YA KUDUMU KUONDOA MIGOGORO YA ARDHI.
Na.Judica Sichone-Tanganyika Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mh Saleh Mhando aziagiza mamlaka za ardhi katika kijiji cha Kamilala na Katuma kuhakikisha wanaweka mipaka ya kudumu haraka iwezekanavyo ili kuondokana na migogogro ya ardhi.