HIVI KUMBE HALI YA BEI YA DAGAA SUMBAWANGA RUKWA IKO HIVI?
Na.Issack Gerald-Sumbawanga DAGAA maarufu kama kauzu wanauzwa kwa bei ya juu katika masoko ya mjini Sumbawanga mkoani Rukwa baada ya kuadimika katika kipindi hiki cha masika. Miongoni mwa dagaa wanaouzwa Sumbawanga Mjini Kutoka Rukwa wakivuliwa kutoka Ziwa Tanganyika (PICHA NA.Issack Gerald)