VIKUNDI 14 VYA WAJASILIAMALI 60 MPANDA WAKOPESHWA MILIONI 27
Na.Agness Mnubi-MPANDA. WAJASIRIAMALI 60 sawa na vikundi 14 kutoka Wilayani Mpanda na Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamepata mkopo wa sh. Million 27 kupitia Mfuko wa Wajasiriamali Mpanda(METF).