WAKUU WA MIKOA,WILAYA NA WAKURUGENZI HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUDHIBITI MIGOGORO YA ARDHI
Na. OFISI YA WAZIRI MKUU, WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanaongeza udhibiti na usimamizi wa migogoro ya ardhi kwenye maeneo yao husika. Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majliwa akisalimia na waakazi Jimboni Kwake Ruangwa