MH.SAMIA SULUHU HASSANI AONYA MATUMIZI YA KAMERA NA TOCHI KUTOKUWA CHANZO CHA UCHUKI KATI YA SERIKALI NA WANANCHI
NA.Issack Gerald-Moshi Kilimanjaro MAKAMU wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan amewataka askari wa usalama barabarani kutotumia kamera na tochi kuwanyanyasa wananchi hali inayochochea chuki kati ya serikali na wananchi.