Posts

Showing posts from March 31, 2016

MGOGORO WA ENEO LA UCHIMBAJI MADINI MTAA WAELEKEA PAZURI

Na.Issack Gerald-Mpanda Mkuu wa wilaya ya Mpanda Paza Mwamlima amesema mgogoro wa ardhi katika eneo la machimbo ya kokoto na madini aina ya dhahabu uliopo katika kijiji cha Kampuni   unatafutiwa ufumbuzi.

C.W.T KATAVI WAANDAMANA KWA MKURUGENZI MANISPAA KUDAI ZAIDI YA MILIONI 100 WANAZODAI KWA MIAKA 3 BILA MAJIBU

Na.Issack Gerald-Mpanda CHAMA cha walimu mkoa wa katavi (CWT) kimefanya maandamano   katika ofisi za mkurugenzi wa manispaa ya mpanda kwa lengo la kushinikiza kulipwa madai yao.

ZAIDI YA MATUKIO 27 YALIYOTIKISA KATAVI NA NJE YA KATAVI MWEZI MACHI 2016 NA P5 TANZANIA

WATU WATANO WAKAMATWA NA MENO YA TEMBO YENYE TAMANI YA MIL.60,280,650/= KATIKA MATUKIO MAWILI TOFAUTI WILAYANI MLELE Katika tukio la kwanza habari zilizotufikia Machi 4 mwaka huu, Jeshi la Polisi Wilayani Mlele Mkoani Katavi lilimkamata Bw. Robert Nyakie(40) mkazi wa kijiji na Kata ya kanoge barabara ya tatu kwa tuhuma ya kukutwa na meno ya tembo kinyume na sheria.

HALMSHAURI YA WILAYA YA MPANDA WAIBUKA NA TUZO YA CHETI KILICHOAMBATANA NA MIL.214,346,000/=

Na.Issack Gerald-Katavi HALMASHAURI ya Wilaya ya Mpanda imepokea cheti na fedha kiasi cha shilingi   Million mia mbili kumi na nne mia tatu arobaini na sita elfu    kutoka Wizara ya elimu ,sayansi na mafunzo ya ufundi kwa kukidhi    vigezo vya   matokeo ya utendaji kazi wa kila siku.