BREAKING NEWS: DAR ES SALAAM JENGO LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI TANZANIA LANUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO
Na.Issack Gerald-Dar es Salaam Jengo la Wizara ya mambo ya ndani makao makuu ya jeshi la Polisi,limenusulika kuteketea kwa moto na kusababisha kazi za jeshi hilo kusimama kwa muda,kutokana na wafanyakazi na viongozi wa jeshi hilo kutoka nje ya jengo kufuatia ya tahadhari ya moto kutolewa. Msemaji wa jeshi la Polisi Tanzania Advera Bulimba