BARAZA LA MADIWANI MKOANI MARA LAWAADHIBU WATUMISHI WANNE KWA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA-Agosti 17,2017
Baadhi ya madiwani Mkoani Mara Baraza la Madiwani la Halmashauri ya mji wa Tarime mkoani Mara leo Alhamisi, Agosti 17 limewakuta na hatia na kuwachukulia hatua za kisheria watumishi wanne kwa kutumia vibaya madaraka yao na kuisababishia halmashauri hiyo hasara ya mamilioni ya fedha.