MLIPUKO WA BOMU UMEUA WATU 30 SOMALIA
Mji wa Mogadishu umekuwa ukilengwa na kundi la wapiganaji wa al-Shabab ambalo linakabiliana na serikali. Shambulio la bomu kubwa limewaua watu takriban watu 30 katika mji mkuu wa Mogadishu nchini Somalia.