MLIPUKO WA BOMU UMEUA WATU 30 SOMALIA
Shambulio la bomu kubwa limewaua watu
takriban watu 30 katika mji mkuu wa Mogadishu nchini Somalia.
Afisa mkuu wa polisi Mohammed Hussein amesema Makumi wengine
walijeruhiwa wakati lori lililoegeshwa na vilipuzi kulipuliwa karibu na lango
kuu la hoteli.
Polisi wamesema watu wawili waliuawa katika mlipuko mwengine
wa pili katika wilaya ya Madina iliopo katika mji mkuu huku ikiwa haijulikani
ni nani aliyetekeleza shambulio hilo.
Mji wa Mogadishu umekuwa ukilengwa na kundi la wapiganaji wa
al-Shabab ambalo linakabiliana na serikali.
Mkaazi wa Mogadishu Muhidin Ali
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com
au ukurasa P5Tanzania Limited
Comments