MKOANI KIGOMA MWENGE WA UHURU LEO UMEZINDUA MAJENGO YA KIBIASHARA NA MAJENGO YA KUKATIA TIKETI ZA MABASI-Julai 26,2017
MRADI wa majengo ya biashara na vibanda vya Kukatia tiketi Mkoani Kigoma umeziduliwa leo na mbio za mwenge katika stendi kuu ya mabasi iliyopo kata ya Gungu.