MKOANI KIGOMA MWENGE WA UHURU LEO UMEZINDUA MAJENGO YA KIBIASHARA NA MAJENGO YA KUKATIA TIKETI ZA MABASI-Julai 26,2017
MRADI wa
majengo ya biashara na vibanda vya Kukatia tiketi Mkoani Kigoma umeziduliwa leo
na mbio za mwenge katika stendi kuu ya mabasi iliyopo kata ya Gungu.
Mradi huo umezinduliwa na kiongozi wa mbio za mwenge
wa uhuru mwaka 2017 Bw.Amour Ahamad Amour ikiwa ni sehemu ya mwenge huo
kuzungukia miradi mbalimbali iliyona ambayo haijaisha .
Amesema kuwa mradi huo umejengwa na tawala za mikoa
na serikali za mitaa (TAMISHEMI)ambao umegharimu ya milioni 700 mpaka
kukamilika na kuanza kutumika
Aidha Amour amesema kuwa wanafanya hawana budi
kutumia vibanda hivyo kufanyia biashara
za ili walipe na kodi za pango kwa kutumia EFD ili kuweza kupata maendeleo ya
haraka
Comments