Mmoja wa wakazi wa Mpanda akionesha kauli mbiu ya hapa kazi tu siku ya uzinduzi wa wakala wa vipimo katika viwanja vya soko la Buzogwe Manispaa ya Mpanda (PICHA na Issack Gerald) Mkuu wa Wilaya ya Mlele Kanal Issa Seleman Njiku akimkabidhi mzani mfanyabiashara mdogo kama ishara ya kuzindua matumizi ya mizani Mkoani katavi yaliyofanyika leo katika viwanja vya soko la Buzogwe (Picha Issack Gerald) Kikao cha wakala wa vipimo na waandishi wa habari,katikakati ni Irene John Kaimu meneja wa Sehemu ya elimu habari na mawasiliano wa wakala wa vipimo kutoka makao makuu Dar Es salaam,Mwenye T-shirt Nyekundu ni Moses Ezekiel Ntungi,Mratibu wa Programu ya Ukopeshaji mizaniaMkoani Katavi na aliyevaa koti ni Abnery Amos Nzaga Meneja wa Mkoa wakala wa vipimo Rukwa na Katavi (PICHA NA Issack Gerald) Baadhi ya wafanyabiashara katika uzinduzi wa matumizi ya vipimo(mizani) katika biashara (PICHA na Issack Gerald) Na.Issack Gerald-MPANDA Taasisi binafsi na serikali...