MANISPAA YA MPANDA BADO IMESHINDWA KULIPA SHILINGI MILIONI 321 KWA WAZABUNI WALIOJENGA MAABARA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI ZA MANISPAA.
Na.Issack Gerald Bathromeo Mashama-Mpanda Katavi HALMASHAURI ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imesema bado haina uwezo wa kulipa Shilingi Milioni 321 inayodaiwa za wazabuni waliojenga maabara katika Shule Mbalimbali za Manispaa ya Mpanda. Mkurugenzi Mtendaji Manispaa ya Mpanda Bw.Michael Francis Nzungu(PICHA NA.Issack Gerald) Katika picha ni Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi,Ofisi Za Hamlshauri ya Manispaa ya Mpanda na pia ndipo ulipoUkumbi wa Mikutano wa Halmshauri ya Manispaa ya Mpanda(PICHA NA.Issack Gerald)