IGP MANGU ATOA AGIZO KWA MAKAMANDA WA MIKOA YOTE NCHINI KUENDESHA OPARESHENI KALI DHIDI YA BODABODA
Na.Mwandihi wetu-Dar es Salaam Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu amewataka Makamanda wa Polisi kote nchini kuendesha oparesheni kali ya kuwachukulia hatua kali za kisheria waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wasiotii sheria za usalama barabarani ikiwemo kubeba abiria zaidi ya mmoja, kupita katika taa nyekundu pamoja na kutovaa kofia ngumu. IGP Ernest Mangu