WAKULIMA,WAFUGAJI MPANDA WATOA MAONI KUHUSU SHEREHE ZA NANENANE
NA.Issack Gerald-Mpanda SIKU mbili baada ya maonesho ya kilimo na ufugaji maarufu kama nane nane, baadhi ya wakulima pamoja na wafugaji Mkoani Katavi wametoa maoni na mapendekezo kuhusu sekta ya kilimo.