Posts

Showing posts from November 17, 2015

KUUWAWA BODABODA KATAVI,KWAWAAMSHA POLISI KATAVI,WAAMUA KUITISHA MKUTANO WA BODABODA

Na.Issack Gerald-MPANDA Kufuatia kukithiri kwa vitendo vya mauaji ya waendesha pikipiki Mkoani Katavi,Mkuu wa usalama barabarani ameitisha kikao kinachotarajia kufanyika kesho kujadili kwa kina suala hilo.

WAFANYABIASHARA WA MATUNDA SOKO LA MPANDA HOTELI WANAOUZIA CHINI WAGOMA KUOANDOKA

Na.Issack Gerald-Mpanda Wafanyabiashara wa bidhaa katika soko la Mpanda hoteil lililopo halmashauri ya mji Mpanda wamegomea agizo lililotolewa na Mwenyekiti wa soko hilo bwana Boniphace Mganyasi la kutaka kuhamisha bidhaa zao chini na kupeleka katika vichanja vya ndani.

WAZAZI,WALEZI WATAKIWA KUTOWAFICH AWATOTO WENYE ULEMAVU

Image
  Baadhi ya watoto walemavu wakisikiliza maelezo ya walimu wao,walimu hawapo pichani Na.Issack Gerald-MPANDA Wazazi na walezi wilayani Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu mbalimbali badala yake wawapeleke shule kupata elimu jumuishi itakayo wasaidia katika maisha yao.