WAZAZI,WALEZI WATAKIWA KUTOWAFICH AWATOTO WENYE ULEMAVU
Baadhi ya watoto walemavu wakisikiliza maelezo ya walimu wao,walimu hawapo pichani |
Na.Issack Gerald-MPANDA
Wazazi na walezi wilayani Mpanda
Mkoani Katavi wametakiwa kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu
mbalimbali badala yake wawapeleke shule kupata elimu jumuishi itakayo wasaidia
katika maisha yao.
Hayo yameelezwa na Afisa elimu taaluma manispaa ya Mpanda Bw. Rashidi Pili wakati akizungumza na P5 TANZANIA MEDIA Ofisini kwake juu ya uelewa wa wazazi kuhusu elimu jumuishi.
na kuzitzja shule zinazotoa elimu kuwa ni
shule ya msingi kashato na azimio .
Aidha amesema kuwa kuwaficha watoto ni
kuwanyima haki ya kushiriki na watoto wasio walemavu katika shughuli mbalimbali
ikiwemo elimu na michezo.
Baadhi ya
shule zenye watoto wenye ulemavu ni pamoja na Manispaa ya Mpanda ni msingi
kashato na azimio .
Comments