HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM
Abdulrahman Kinana alizaliwa mwaka
1952 mkoani Arusha Arusha Kaskazini mwa Tanzania.
Alihitimu shahada yake katika Chuo
Kikuu cha Havard nchini Marekani akibobea kwenye masuala ya mikakati.
Alikuwa Waziri wa ulinzi na Jeshi la
kujenga taifa ,naibu Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimatafa na Waziri
wa ulinzi.
Kinana aliwahi kufanya kazi na Jeshi
la wananchi la Tanzania kwa miaka 20 kabla ya kusaafu akiwa na cheo cha ukanali
mwaka 1972.
Abdulrahman Kinana pia aliwahi kuwa
Spika wa Bunge la Afrika mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006.
Habari zaidi ni
P5TANZANIA LIMITED
Comments