ASASI ZA BINAFSI ZA KIRAIA NA SERIKALI ZAAGIZWA KUELIMISHA JAMII MASUALA YA SHERIA KATAVI,RAIS MAGUFULI NAYE ATOA AGIZO KALI DAR,MAHAKAMA YA MAFISADI KUJENGWA MWAKA HUU
Na.Issack Gerald- Katavi Asasi za kiraia na zile za serikali zikiwemo vyombo vya habari, wanaharakati wa haki za binadamu wametakiwa kushirikiana kwa pamoja kuelimisha jamii juu ya kanuni zinazotumika kushughulikia kudai haki za madai na jinai kwa mjibu wa kanuni na sheria hapa nchini.